Genesis 24:67

67 aNdipo Isaka akamwingiza Rebeka katika hema la Sara mama yake, Isaka akamchukua Rebeka, hivyo akawa mke wake. Isaka akampenda, akafarijika baada ya kifo cha mama yake.
Copyright information for SwhKC